FANYA MAMBO MPAKA WATU WASHANGAE.
Posted by
Nabiijiographia
on
8:57 PM
in
MAHUBIRI
|
Mpendwa
mfatiliaji wa makara zangu nilizo kuwa nikiziandika kupitia blog yangu.leo
nimekuletea ujumbe mpya ambao ukiamasika na ku ushika nakuufanyia kazi
utakuinua sana.
Siku zote
watu wamekuwa wakipoteza muda katika jumla ya maisha yao walio ishi kwani
wamekuwa wakiishi kwa ajiri ya kumfurahisha mwanadamu,bila ya kuishi kwa ajiri
ya Mungu,adi badae kujikuta kuishia bila mafanikio yoyote adi uzee wao
wote.Biblia inatufundisha kupitia mfano wa yuda escarioti ambaye alikuwa amepewa
cheo cha mtunza azina kati ya wanafunzi wa Yesu alifanya mambo yakeyote kwa
ajiri ya kuwafurahisha wanadamu na mwisho kuishia patupu kwani wanadamu ao ao
walioneka kuwa wabaya kwake adi badaye aliamua kwenda kujiua katika bonde la
alkadema.Yesu anatueleza katika Mathayo13:18c "aliyekula chakula changu
ameniinulia kisigino chake" Neno hili lilikuwa limemlenga yuda kwani
alikuwa ni mwanafunzi wa Yesu ambaye aliaminiwa kupita kiasi na Rabii
wake,lakini kwa jambo alilolifanya yuda ambalo lilimgarimu sana adi kutoa uhai
wake nikufanya mambo kwa ajiri ya wanadamu na sii kwa ajiri ya Mungu.Na ndio
maana wakati ule wa chakula cha usiku Yesu alisema ya kwamba yeye aliyetia
mkono wake katika kombe ili ndiye atakaye nisaliti nabaadae kwisha kumpatia
tonge na kumlisha nakusema..... angaria mstari wa 26.sikuzote unapo fanya mambo
yako kwa ajiri ya mwanadamu shetani anakuwa karibu nawe ili kukupoteza nandio
maaana yuda aliingiwa nashetani npale tu ambapo
Yesu alikuewa amekwisha kumpatia tonge ndipo Yesu akamwambia "uyatendayo uyatende upesi" sikuzote Mungu anapoona umemueka mbali naye
uwa anakuacha na Mungu akikuacha akuna kitakacho weza kuwezekana na ndio maana
yuda akuchukua Muda akajijutia alicho fanya na akaamua kwenda kujiua katika
bonde la alkadema ambapo uko aliweza kupoteza uhai wake sio uyo tu ila tuna
mifano mingi katika Biblia sitatoa yote ila nitakueleza huu mmoja ambao
utakufundisha.Fungua pamoja nami katika kitabu cha mwanzo 3 kaini alikuwa ni mmoja wamtu ambaye alikuwa mbali na Mungu
kwani biblia inatueleza kuwa alipo jua amemtenda kosa bwana akukumbuka ata
kuomba msamaha na ndio maana katika mstari wa
9:kaini akasema "mimi ni mlinzi wandugu yangu" hapa ni baada
ya kuulizwa abel yukwapi biblia inatueleza Mungu alimlaani kaini ni kumuacha
afate akili yake yakibinadamu na mwisho wakaini au kua mzuri kwani Mungu alimuacha afanye mambo
yake.unapo fanya mambo yako sikuzote usifanye kwa ajiri ya Mtu ila jitaidi
kufanya mambo kwaajiri ya kumtukuza Mungu kwani mwanadamu atakusaidia chochote
mwisho wamwanadamu nikukusemea mabaya tu.Miguu yako iwe moto ili kila yupitapo
mbaya wako akapate kuona moto uo katika jina la Yesu pokea.
Post a Comment