Wakati
shughuli za mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.ilikuwani jambo la
kushangaza machoni pa watu kwani dakika 15 kabra ya kuiingia mwaka wa nuru
2016.kulitokea tafarani kwani baada ya maombi mazito ya kinabii
yakiendelea.zilitolewa ilizi zilizo kuwa zimewekwa na wachawi katika pembe ya
kanisa "siku zote giza aliwezi kuhishinda nuru".Moto kutoka mbinguni ulishuka
kuteketeza ilizi izo.na baadae ikawa ni nafasi njema ya washirirka kuwasha
mishuma yao kupitia moto ule ulio kuwa ukiwaka katika ilizi zile.dakika 2
kuukaribisha mwaka watu wawili walitokea kwa nyuma wakiingia huku wakiwa
katikaa mavazi yao ya kichawi,baada ya maombi waliweza kueleza lengo lao kuu
usiku huo ambao ilikuwa ni kunyonya damu za watu wote wenye ujauzito sehemu
mbalimbali.kweli Mungu ni wa ajabu
mambo
mengine zaidi kuhusu watu haya utaendelea kuyapata hapa hapa kwenye tovuti
yetu,nikusihii tu usiache kututembelea kila siku upate kuona yanayojiri katika
behewa la kinabii.
Imechapishwa na,
Nabii jiographia,
Simu:0656240305
Post a Comment