NENO
KUU:KUTANGAZA NURU KATIKA MAISHA YAKO 2016
Ni usiku wa tarehe 31/1/2015 ambapo ibada ya
kinabii ilikuwa ikiendelea ndani ya behewa la kinabii.katika mwaka 2015 wengi
walijitkuta wakipitia shida nyingi,wengine ata kukata tamaa ya
kujiuwa,wakitafuta njia ya kupumzisaha matatizo yao lakini suluhisho au kikomo
cha matatizo yao kutokuonekana.ukiachana
na jambo dogo kama ilo wengine waliweza kupitia matatizo mengi katika biashara
zao yote aya ni ili Mungu aweze kujidhihirisha katikati yao.
Mpendwa msomaji wa makala hii.Tazama ni nayo habari
njema kwako wewe uliekata tamaa na ata kudiriki kuchua atua ya kujiona wewe
aufai katika ulimwengu huu, nakutangazia ya kwamba nuru ya Mungu ikakuangazie
unapo kwenda ku uanza mwaka 2016.nakutamkia baraka za Mungu zikabebe familia
yako,baraka za Mungu zika kutangulie katika biashara zako,baraka za Mungu
zikaguse elimu yako kama wewe ni mwanafunzi..baraka za Mungu zikufuate wewe
unanifatilia kupitia tovuti yangu hii.nasema wachawi awata pata nafasi katika
jina la Yesu,wanao nyonya damu za watu awata waona katika jina la Yesu.
Nipende kukusii tu juu ya mwaka huu 2016 katika
kila jambo utakalo kuwa unalifanya jaribu kutamkia neno kwani uwezi jua nani ni
mbaya wako ama mwema wako.Wewe mfanya biashara mwaka huu kama ulifanya masihara
kwenye biashara yako na Mungu akakusaidia,fanya biashara mpaka wa baya wako
wakapate kumtambua Mungu wako unaemuabudu.waache wakuite mchawi sijui mwangaa
we songa mbele na Yesu wako nawe utakuja kuniambia kwani mwaka 2016 ni mwaka wa
kumiliki na sii mwaka wakupoteza wala kukaa chini.mwanafunzi soma sana Mungu
atakuacha,usijari wenzako wanakusema vipi juu ya uamuzi wako wa kuokoka bari
wewe enderea kusonga mbele na Mungu ata kusaidia.Napenda kukushukuru wewe
msomaji wa makara zangu na na enderea kukusihi usiache kutembelea tovuti yangu
nabiijiographia.blogspot.com ukapate kuona mambo mengi ya kinabii ya kiienderea
katika behewa lakinabii.vilevile pia ukipata nafasi fika katika behewa la
kinabii lililopo mkoa wa MORORGORO kituo cha lungwawa Mkundi.
Imechapishwa na,
Nabii jiographia,
Simu:0656240305
Aimen
ReplyDeleteamen
Delete